Habari kuhusu Ethiopia kutoka Novemba, 2015
Wanablogu wa Zone9 Wasema, ‘Kushikiliwa kwetu Kumefunua Yaliyojificha Nchi Ethiopia’
"Kwa wale waliotufunga gerezani na ambao walitusababishia madhila haya, hata kama hautuombi msamaha, sisi hatuna kinyongo."