Habari kuhusu Ethiopia kutoka Oktoba, 2016
Serikali ya Ethiopia Yazima Intaneti ya Simu za Mkononi na Mitandao ya Kijamii
Wale wanaoufuatilia mwenendo wa mambo wanahofia kuwa hatua hii inaweza kuwa dalili ya mwanzo wa hatari kwa maandamano hayo yaliyoendelea kwa miezi 12.