Habari kuhusu Ethiopia kutoka Julai, 2015
Edom Kassaye: Mwandishi wa Ethiopia Aliyefungwa Gerezani kwa Uwajibikaji Wake
"Ninaamini kuwa ilikuwa nidhamira chanya ya Edom ya kuleta mageuzi sahihi ya siasa hafifu ya Ethiopia ambayo pia ilipelekea yeye kuwa karibu zaidi na wanajumuia wa kublogu wa Zone9. Taratibu zetu ziliwiana"