· Oktoba, 2012

Habari kuhusu Habari za Hivi Punde kutoka Oktoba, 2012

Venezuela: Ni Chávez Tena kwa Miaka Sita Zaidi

Baada ya chaguzi zilizokuwa na changamoto na ushindani mkubwa katika muongo uliopita, Venezuela itaongeza miaka mingine sita kwa utawala wa Hugo Chávez Frías ulioanza mwaka 1999. Idadi ya watu waliokuwa mtandaoni hasa kwenye mitandao ya kijamii, hasusani twita, ilikuwa kubwa sana hasa kabla matokeo rasmi hayajatangazwa.

11 Oktoba 2012