· Septemba, 2013

Habari kuhusu Habari za Hivi Punde kutoka Septemba, 2013

Boko Haram Waua Wanafunzi 50 wa Chuo Kikuu Nchini Naijeria

  30 Septemba 2013

Kikundi cha kigaidi cha Naijeria Boko Haram kimewawasha moto bwenini na kuwaua wanafunzi wasiopungua 50 wa Chuo Kikuu cha Kilimo kilichopo kwenye Jimbo la Yobe, wakiwa usingizini. Rais Goodluck Jonathan alitangaza hali ya hatari katika eneo hilo kufuatia mfululizo wa vitendo vya kigaidi.