· Oktoba, 2008

Habari kuhusu Habari za Hivi Punde kutoka Oktoba, 2008

Afrika Ya Kusini: Mjomba, Urais Uko Wapi?

Ulimwengu wa blogu nchini Afrika ya Kusini umelipuka kutokana habari za hivi karibuni kuhusu mawaziri 11 na manaibu 3 kujiuzulu wakiwemo mawaziri vinara, Trevor Manuel na Naibu Rais, Phumzile Mlambo-Ngcuka. Yafuatayo ni yale wanayosema mabloga …

1 Oktoba 2008