Habari kuhusu Habari za Hivi Punde kutoka Februari, 2012
Colombia: Mwanahabari Raia Atishwa Kuhusu Video Iliyoenea
Mwanahabari raia Bladimir Sánchez ameshapata vitisho kwa maisha yake kwa kueneza video inayoonhesha kuhamishwa kwa fujo kwa wakulima na wavuvi wanaopinga ujenzi wa bwawa la kuzalisha umeme katika eneo la Huila, nchini Colombia. Baada ya muda usiozidi siku tatu, watu zaidi ya 600,000 wameitazama.