· Juni, 2014

Habari kuhusu Habari za Hivi Punde kutoka Juni, 2014

Maandamano Makubwa Yafanyika huko Guangzhou, China

  12 Juni 2014

Mamia ya wakazi wa Guangzhou jana mchana walikusanyika huko Sanyuanli kupinga hatua ya polisi ya kutaifisha mali binafsi za watu kwenye bohari kama sehemu ya harakati za kukabiliana na majanga ya moto. Waandamanaji walijikuta wakikabiliana vikali na polisi, na baadae, wakati wa vurugu hizo, waandamanaji walifikia hatua ya kupindua magari...