Habari kuhusu Habari za Hivi Punde kutoka Juni, 2019
Binyavanga Wainaina Mwandishi wa Kenya, Aliyeifundisha Dunia ‘Namna ya Kuandika Kuhusu Afrika’, Afariki Akiwa na Miaka 48
"Kuna Binyavanga Wainaina mmoja tu. Sasa ni mhenga. Tusherehekee maisha yake." Dunia inaomboleza kupotea na kuheshimu maisha ya mwandishi mashuhuri wa Kenya.