Habari kuhusu Habari za Hivi Punde kutoka Februari, 2011
Misri: El Baradei – Rafiki au Adui wa Waandamanaji?
Kiongozi wa upinzani nchini Misri Dr Mohamed El Baradei alifanya ziara fupi kwa maelfu ya waandamanaji wanaompinga Mubarak, walioweka kambi kwenye viwanja vya Tahrir jijini Cairo, dakika chache zilizopita. Maoni kutoka Twita yanafuata.