Unaona lugha zote hapo juu? Tunatafsiri habari za Global Voices kufanya habari za kidunia zimfikie kila mmoja.

Habari kuhusu Zimbabwe kutoka Agosti, 2013

12 Agosti 2013

Zimbabwe: Robert Mugabe Ashinda Uchaguzi, Atuhumiwa Kuiba Kura

Daftari la wapiga kura la Zimbabwe lilisemekana kuwa na watu milioni mbili waliokufa. Botswana imetoa wito wa kukaguliwa kwa matokeo ya uchaguzi.