Habari kuhusu Zimbabwe kutoka Februari, 2014
Nyumba ya Kiongozi wa Upinzani Nchini Zimbabwe, Tendai Biti Yalipuliwa Mara ya Pili
Biti ni katibu mkuu wa chama cha Upinzani cha MDC [Movement for Democratic Change], kinachoongozwa na Waziri Mkuu wa zamani Morgan Tsvangirai.