Habari kuhusu Zimbabwe kutoka Februari, 2020
Serikali ya Zimbabwe yaendelea kutumia habari za mtandaoni kama silaha ya kukandamiza haki za raia
Serikali mpya, iliyoongozwa na Emmerson Dambudzo Mnangagwa,iling’amua mara nguvu ya mitandao ya kijamii. Kama waziri wa zamani wa usalama wa nchi, Mnangagwa pia alitambua umuhimu na nafasi ya upotoshaji taarifa katika nyanja za kisiasa za Zimbabwe.