Unaona lugha zote hapo juu? Tunatafsiri habari za Global Voices kufanya habari za kidunia zimfikie kila mmoja.

Habari kuhusu Zimbabwe kutoka Aprili, 2014

16 Aprili 2014

Rais Mugabe Anadhani Naijeria Inanuka Ufisadi Kuliko Zimbabwe

"#Mugabe ana ujasiri wa kuiita serikali ya Naijeria kuwa imekithiri ufisadi. Serikali ya Naijeria ina haki ya kijisikia kutukanwa."