Habari kuhusu Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kutoka Aprili, 2017
Wakimbizi Nchini Marekani Wadumisha Tamaduni za Kimuziki kwa Nyimbo za Watoto
Msimuliaji wa hadidhi kwenye Kituo cha Makumbusho ya Sanaa cha Erie Art Museumkilicho kwenye jimbo la Pennsylvania, nchini Marekani alikuja na wazo: kuwasaidia wakimbizi kujifunza ujuzi wa kazi wakati akiwasaidia kukumbuka nyimbo zao.