Habari kuhusu Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kutoka Juni, 2013

Je, Italia Iko Tayari kwa Waziri Aliyezaliwa Afrika?

  9 Juni 2013

“Je, Italia iko tayari kwa Waziri wa Serikalki aliyezaliwa Afrika?,” Donata Columbro anauliza: Miezi miwili baada ya uchaguzi wa hivi karibuni, Italia ina serikali mpya. Na Cécile Kyenge, mwenye umri wa miaka 48,  daktari wa upasuaji macho na raia wa Italia aliyezaliwa Kongo, ni Waziri mpya wa Ushirikiano katika baraza la mawaziri la Waziri...