Habari kuhusu Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kutoka Machi, 2014

Mkutano wa Wanawake wa Nchi Zizungumzao Kifaransa 2014 Wafunguliwa Kinshasa, DRC

  3 Machi 2014

Mkutano wa wanawake wa nchi zizuingumzao Kifaransa 2014 [fr] Unafunguliwa leo jijini Kinshasa, DRC. Huu ni mkutano wa pili kufuatia ule uliofanyika Paris mwaka 2013. Wakati ule wa kwanza ulijikita katika kupunguza vitendo vya kudhalilisha wanawake katika maeneo yenye migogoro, lengo la mkutano huu wa 2014 litakuwa ni wajibu wa wanawake...