Habari kuhusu Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kutoka Mei, 2016
Mfalme wa Rumba lenye Mahadhi ya ki-Kongo Afariki Dunia. Tunamkumbuka kwa Hili
Tumempoteza Papa Wemba, mwanzilishi wa rumba lenye mahadhi ya Kikongo na "mfalme wa Sape". "Kwaheri na asante sana kwa msanii huyu," tunasema sisi wa Global Voices