Habari kuhusu Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kutoka Machi, 2019
Je, Felix Tshisekedi Atamaliza Machafuko Katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo?
President Felix Tshisekedi alisema kwamba hatua ya mahakama kuthibitisha ushindi wake ilikuwa ni ushindi kwa nchi yote na aliahidi kujenga taifa la umoja, amani na usalama.