Habari kuhusu Teknolojia kutoka Juni, 2016
‘HiviSasa’, Mradi wa Uandishi wa Kiraia Nchini Kenya kwa Ajili ya Tovuti za Simu

"Inapatikana kirahisi, inavutia watu wa makundi tofauti, ina uwazi na kumwezesha mwananchi na serikali ujumla. Wananchi wenye taarifa sahihi hufanya maamuzi bora na sahihi kwa ajili ya maisha yao na kwa serikali yao."
Mwanaume wa Tanzania Ahukumiwa Kifungo cha Miaka Mitatu Jela kwa “Kumtukana” Rais kwenye Mtandao wa Facebook

Hukumu hii inakuja baada ya Sheria ya Makosa ya Jinai ya Tanzania kupitishwa mwaka 2015, ambayo wakosoaji wengi wanasema inawapa polisi mamlaka makubwa bila udhibiti wowote
Mtazamo wa Tamasha la Kwanza la WanaBlogu na Vilogu wa Barani Afrika Lililofanyika Huko Dakar, Senegal
Kwa siku mbili, wanablogu na wanavilogu maarufu barani Afrika, wakiambatana na wadau kadhaa wa teknolojia barani Afrika walikuwa na majadiliano ya namna ya kuboresha kazi zao