Habari kuhusu Teknolojia kutoka Februari, 2016
Nguvu ya Mitandao ya Kijamii Kwenye Uchaguzi Mkuu wa Uganda, 2016
"Uhuru wa kujieleza unaambatana na wajibu wake. Kuna wakati upotoshaji hutokea wakati wa kutoa taarifa na kwenye kuchangia maoni kupitia mitandao ya kijamii."