Habari kuhusu Teknolojia kutoka Februari, 2017
Unaweza kupendekeza Washindani wa Tuzo za Blogu Kenya 2017
Tuzo za Blogu Kenya sasa zinapokea mapendekezo kwa ajili ya shindano la mwaka huu. Mapendekezo yanakaribishwa mpaka Machi 10. Wanablogu na mashabiki wanaweza kutuma mapendelezo yao kwa makundi mbalimbali ya ushindani.
Serikali ya Kenya Yadaiwa Kuwalipa Watumiaji Maarufu wa Mtandao ya Kijamii Kutangaza Habari za “MadaktariWalafi”

Kadri madai ya kuingiliwa kwa mitandao ya kijamii yakiongezeka, viongozi saba wa Chama cha Madaktari nchini Kenya wamehukumiwa kifungo kwa kushindwa kuzima mgomo huo unaoendelea.