Habari kuhusu Teknolojia kutoka Mei, 2016
‘Biko Zulu’, ‘Wananiita Daktari’ na ‘Hadithi za Mama’ Miongoni mwa Washindi wa Tuzo za Blogu Kenya
Washindi wa Tuzo za Blogu Kenya 2016 walitangazwa katika dhifa maalum iliyofanyika mnamo Mei 14 jijini Nairobi, Kenya.