Habari kuhusu Teknolojia kutoka Novemba, 2013
MATOKEO: Tuzo za Kwanza za Uandishi wa Kiraia Kuwahi Kutolewa Uganda
Tuzo za kwanza za uandishi wa kiraia nchini Uganda (SMAs) zilitolewa kwa mara ya kwanza Novemba 15, 2013 kwenye kituo cha Teknolojia kiitwacho The Hub, kwenye mtaa wa maduka ya...
Sera ya Taarifa ya Uwazi Yahitaji Kuboreshwa zaidi Nchini Japan
Pamoja na kuwa serikali ya Japan inajitahidi kupiga hatua katika uboreshaji wa sera yake ya uwazi, nchi hii bado ina safari ndefu, kwani imeshika nafasi ya 30 kati ya nchi...
Global Voices Yasaidia Wahanga wa Haiyan Nchini Ufilipino

Kimbunga kijulikanacho kama Haiyan hadi sasa kimeshaua maelfu ya watu nchini Ufilipino. Wiki hii tunaongea na waandishi wetu wlioko nchini Ufilipino pamoja na mfanyakazi anayehusika na misaada kujua ni kwa namna gani tunaweza kutoa msaada wetu.
Wikipedia kwa Lugha ya Ki-Guarani
Mwaka huu, Wikipedia katika lugha ya Kihispaniola ilifikia makala milioni moja na kutolewa kwa mwongozo msingi wa mtumiaji katika lugha ya ki-Guarani. Wazo ni kufufua jamii ya wanaozungumza kiguarani katika...
Tamko Kuhusu Mustakabali wa Ushirikiano katika Mtandao wa Intaneti.
Wawakilishi wa mashirika yanayoratibu miundombinu ya kiufundi ya huduma ya intaneti waliokutana huko Montevideo; Uruguay, wametoa tamko kuhusu mustakabali wa ushirikiano katika masuala ya Intaneti [es], ambapo walifanya uchanganuzi kuhusiana...