Habari kuhusu Teknolojia kutoka Juni, 2013
Simu za Bure Kwa Wakulima wa Nigeria?
Wizara ya KIlimo nchini Naijeria imetangaza mpango wake wa kugawa simu za bure za kiganjani kwa wakulima wa vijijini. Mpango huu umezua mjadala mzito kwenye ulimwengu wa blogu nchini Naijeria.