Habari kuhusu Teknolojia kutoka Agosti, 2016
Serikali ya Bangladesh Yazima Mitandao ya Intaneti na Kufungia Tovuti 35
“Kama sehemu ya zoezi linaloendelea, mitandao yote ya intaneti itazuiliwa kwa muda wakati wowote na eneo lolote la nchi.”
Yaliyojiri Wiki Hii Hapa Global Voices: Siasa za Pokémon Go
Kwenye kipindi cha wiki hii, tunakupeleka Iran, Japan, China, Mexico na Timor-Leste.