Habari kuhusu Teknolojia kutoka Julai, 2016
Hiyo Ndiyo Sababu ya Google Kubadili Majina ya Baadhi ya Miji ya Crimea—na Sasa Inarudisha Majina ya Awali

Kama vile ni miujiza, Google ilibadili ghafla baadhi ya majina ya miji kwenye pwani ya Crimea —kwa kutumia huduma yake ya Ramani za Google