Habari kuhusu Teknolojia kutoka Aprili, 2014
Mazungumzo ya GV: Moja kwa Moja kutoka Kombe la Dunia la Mtandaoni
Je, tuna mpango wa utawala wa mtandao wa intaneti duniani? Mazungumzo ya wiki hii yanakujia kutoka kwenye mkutano wa Net Mundial jijini São Paulo, Brazil.
Mradi Wa Kutumia Simu za Mkononi Kuhamasisha Usomaji
Lauri anaandika kuhusu mradi uliopo Afrika Kusini, Mfuko wa Usomaji wa FunDza, unaotumia teknolojia ya simu za mkononi kuhamasisha tabia ya kusoma kwa watoto: Kinachofurahisha, hata hivyo, ni pale Waafrika...
Shirika la Friedrich Ebert Lachapisha Ripoti ya Matumizi ya Mitandao ya Kijamii Nchini Cameroon
Shirika la Friedrich Ebert limechapisha ripoti ya utafiti kwenye matumizi ya mitandao ya kijamii nchini Cameroon: Kwa kiwango kipi, kwa malengo yapi na kwa akina nani basi mitandao ya kijamii...
Uchaguzi Mkuu wa India 2014: Kampeni Kwenye Mitandao ya Kijamii
Mitandao ya kijamii imekuwa ni sehemu ya ugunduzi na ubunifu. Milind Deora [Waziri wa Muungano na Mbunge wa Mumbai Kusini] anatamba kuwa mgombea wa kwanza kupatikana kwa wapiga kura wake...
Mazungumzo ya GV: “Mtandao wa Twita” wa Siri wa Kimarekani Nchini Cuba
Mpango wa siri wa Marekani wa kubadili utawala nchini Cuba wenye huduma ya ujumbe inayofanana na Twita iitwayo ZunZuneo sasa unaangaliwa kwa mashaka baada ya kuwepo kwa taarifa kuwa maelfu...
Jiunge na IGF Japan Kujadili Utawala wa Mtandao
IGF Japan, hatua ya maendeleo nchini Japani ya Jukwaa la Utawala Mtandao, ambapo watu wanaojihusisha mtandaoni huja pamoja kujadili changamoto za utawala wa mtandao, ulifanyika Machi 14, 2014