· Februari, 2014

Habari kuhusu Teknolojia kutoka Februari, 2014

Picha Mpya ya Korea Kaskazini ya Shirika la Anga la Marekani

  27 Februari 2014

Wasomaji wa kimataifa wanaofuatilia masuala ya Korea Kaskazini labda wangekutana angalau mara moja na picha hii maarufu ya rasi ya Korea kutoka Shirika la Anga la Marekani (NASA) kuonesha tofauti kubwa ya taa zinazoangaza usiku kwenye nchi hizo mbili za Korea. NASA hatimaye walihuisha picha zao za Satelaiti na ‘ina mwonekano mzuri kuliko picha ya...

Vyombo Vikuu vya Habari Vyaihujumu Facebook

  24 Februari 2014

Mwanablogu wa Teknolojia Amitha Amarasinghe anadai kwamba mtandao wa Facebook unapewa taswira hasi na vyombo vikuu vya habari nchini Sri Lanka kwa vichwa vya habari kama “Mwanafunzi ajiua shauri ya picha iliyowekwa Facebook”, “Mapenzi ya Facebook yaishia na kifo” na kadhalika. Ghafla tu, kuna mwongezeko mkubwa wa maudhui yanayotoa taswira...

Wiki ya Mitandao ya Kiraia Jijini Lagos 2014

Wiki ya Mitandao ya Kiraia jijini Lagos 2014 (Februari 17-21) inaendelea jijini Lagos, Niajeria: Wiki ya Mitandao ya Kiraia Lagos ndio kwanza mwaka wake pili kufanyika na tayari imepata umaarufu kama mkutano mkubwa zaidi wa kiteknolojia, mitandao ya kijamii na kibiashara barani Afrika. Tukio hilo limevutia wanazuoni maarufu, bidhaa maarufu,...