Habari kuhusu Teknolojia kutoka Januari, 2017
China Kufungia Kutolewa kwa Huduma ya Mitandao Binafsi ya Intaneti
Serikali ya China imefungia baadhi ya huduma za VPN China tangu 2015, lakini sera mpya inafanya kutumia VPN na huduma za intaneti zisizosajiliwa kuwa kosa