Habari kuhusu Teknolojia kutoka Machi, 2014
Mazungumzo ya GV: Namna ya Kutengeneza Video za Utetezi na Mabadiliko
Je, unatumia video kuifanya kampeni kuwa uhalisia? Je, una mpango wa kusimulia habari zako kwa kutumia kamera -au simu yako? Basi unahitaji kutazama video hii ya Mazungumzo ya GV!
Namna Huduma ya Kuhamisha Fedha kwa Njia ya Simu Ilivyobadili Maisha ya Wakenya
Wakenya kwenye mtandao wa Twita wanaeleza namna MPesa, huduma ya kufanya miamala ya kibenki kwa kutumia simu za mkononi, ilivyobadili maisha yao tangu kuanzishwa kwa huduma hiyo miaka saba iliyopita
Twiti ya kwanza kutoka kwa Rais wa Madagaska
Rais mteule wa Madagaska Hery Rajaonarimampianina amefungua akaunti yake ya mtandao wa twita mnamo tarehe 23 Machi, 2014. Hii ndiyo twiti yake ya kwanza : Kuna uwezekano mkubwa kuwa hiyo...
Maombi ya Mtandao wa WeChat na ‘Self-Media’ kwa Raia wa China
Mitandao ya Tencent’s WeChat, huduma ya ujumbe binafsi kwa namna fulani imechukua nafasi ya mtandao unaofanana kidogo na Twita uuitwao Sina Weibo kama chombo kinachoongoza kwa mawasiliano mbadala. Mtandao wa Tea...
Fasiri ya Lugha ya Kikannada ya Karne ya 11 Yapatikana kwenye Mfumo wa Wikisource
Vachana Sahitya ni aina ya uandishi kwa mtindo wa sauti katika lugha ya ki-Kannada ambao ulianzia karne ya 11 na kukua sana kwenye karne ya 12. Makala ya Subhashish Panigrahi...
Flipboard Yaiongeza Global Voices Kwenye Mwongozo wake wa Maudhui
Kuanzia mwezi huu, mtandao wa Global Voices (katika lugha tofauti) utakuwa ukipendekezwa kwa maelfu ya watu wanaotumia simu ama vifaa vinavyofanana na simu za kisasa.
Mazungumzo ya GV: Heri ya Miaka 25 ya Kuzaliwa, Mtandao!
Kuna tofauti gani kati ya Intaneti na Mtandao? Kwa nini mtandao wazi ni muhimu? Jopo la wataalamu maarufu wa teknolojia na watetezi wa haki wanazungumzia hilo kwenye Mazungumzao ya GV.
Shule 2,715 Kuunganishwa na Mtandao wa Intaneti Nairobi
Shule 2,715 jijini Nairobi, Kenya hivi karibuni zitaunganishwa na mtandao wa intaneti wa bure: Wanachi Group [kampuni] imefikia makubaliano ya kutekeleza mradi wa thamani ya Dola za Marekani milioni 3...
Teknolojia ya Kiafrika: Mradi wa TechAfrique Watathmini Hatua Iliyofikiwa
Le continent africain apparaît comme la nouvelle frontière mondiale du développement numérique. Ce développement provoque une nouvelle impulsion entrepreneuriale en Afrique, et notamment en Afrique francophone. Mais ce potentiel reste très largement méconnu en Europe ainsi qu'en...
Global Voices Yaanzisha Ushirikiano na Shirika la Kukutanisha Wakimbizi
We're proud to assist Refugees United with translation and local advice as they help families who have lost each other reconnect online.