Habari kuhusu Teknolojia kutoka Machi, 2016
Namna Vyombo vya Habari Nchini Ghana Vinavyotumia Mitandao ya Kijamii
Shirika lisilo la kibiashara nchini Ghana, Penplusbytes, limetoa Ripoti yake Viwango vya matumizi ya Mitandao ya Kijamii kwa Vyombo vya Habari nchini Ghana.