Habari kuhusu Teknolojia kutoka Juni, 2014
Kijana Huyu Mwenye Asili ya Zambia Awa Mwanafunzi wa Kwanza Kuwa Mtalaam wa Kutegemewa na Microsoft
Kijana wa miaka 15 mwenye asili ya Zambia ameishangaza dunia ya teknolojia ya habari na mawasiliano kwa kuwa mmoja wa wataalam wadogo wa Microsoft barani Ulaya
Tovuti 50 Zilizotembelewa Zaidi Nchini Kenya
Je, unajua ni tovuti gani maarufu zinazotembelewa zaidi nchini Kenya? Soka posti ya James Wamathai kwenye blogu yake kufahamu zaidi: Mengi yamebadilika tangu mwezi Januari, wakati nilipotoa orodha ya tovuti...
Taarifa ya Maendeleo ya Kiteknolojia Barani Afrika
Erik anatushirikisha taarifa 5 kuhusu mwenendo wa teknolojia barani Afrika: Nimeendelea kutamani kuandika makala za blogu kuhusu taarifa hizi moja baada ya nyingine, nyingi zikihusu Afrika, lakini inaonekana sitaweza. Badala...