Habari kuhusu Ghana kutoka Machi, 2019
Wanaharakati Watafuta Majibu, Mwezi Mmoja Baada ya Uchunguzi wa Kifo cha Aliyekuwa Mwandishi wa Habari.

Divela aliiambia asasi ya kuwalinda Waandishi (Committee to Protect Journalists) kupitia ujumbe wa WhatsApp kwamba "vigogo nchini Ghana walikuwa wanatafuta namna ya kumdhuru"