· Septemba, 2013

Habari kuhusu Ghana kutoka Septemba, 2013

Picha Nyeusi: Waafrika Nchini Italia

  27 Septemba 2013

Picha Nyeusi ni kazi za wapiga picha watatu – Marco Ambrosi, Matteo Danesin na Aldo Sodoma – Kituo cha Stadi za Uhamiaji mjini Verona, Majiji ya Verona na Padua, Chuo Kikuu cha Padua Idara ya Sosholojia ikiwaonyesha Waafrika nchini Italia.