Habari kuhusu Ghana kutoka Disemba, 2009
Ghana: Rais Atta Mills Dhidi ya Chama Chake Mwenyewe?
Katika miezi michache kuelekea uchaguzi wa Rais Hohn Evans Atta Mills, wa-Ghana wengi, pamoja na wale walio nje ya nchi, waliohofu kwamba ushindi wa chama cha New Democratic Congress (NDC) ungeweza kugeuka kuwa utawala mwingine wa mwanzilishi wa chama hicho na mtawala wa zamani wa kijeshi, Rais Jerry John Rawlings.
Ghana: Fikra Juu ya Mkosi Unaoyanyemelea Mafuta
Fikra Juu ya Mkosi Unaoyanyemelea Mafuta: “kwa dibaji, Ninasema kuwa ninaamini katika haki za mali (ardhi na majengo), serikali yenye mipaka pamoja na mipango huru, japokuwa ni lazima niseme kuwa...
Ghana: Nani atanufaika na mafuta?
Wakati Kampuni ya mafuta ya Uingereza Tullow Oil ilipotangaza uvumbuzi wake wa kiasi cha mapipa milioni 600 ya mafuta nchini Ghana mwaka 2007, ulimwengu wa wanablogu uliitikia kwa maoni yanayotofautina kati ya matumaini na hali ya hofu hasi.