Habari kuhusu Ghana kutoka Novemba, 2009
Ghana: Vionjo Sehemu ya Kwanza
Sehemu ya kwanza ya vionjo vya Ghana iliyotayarishwa na Gayle: Nchini Ghana, kila kanda ina kitu cha kutoa. Utamaduni, historia, pwani, wanyama na mimea, unaweza ukavivinjari nchini kote, kutokea kwenye...