Habari kuhusu Burundi kutoka Juni, 2015
Raia wa Uganda Wanataniana kwa Mgogoro ‘wa Kawaida’ wa Awamu ya Tatu Burundi
Maandamano makubwa na mapinduzi yaliyoshindwa vyote vlitokea kwa sababu ya Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza kutaka kugombea kwa awamu ya tatu. Rais wa Uganda anaangalia uwezekano wa kugombea muhula wa tano.
Baada ya Maandamano Burkina Faso na Burundi, Naija na Togo Zinafuata?
Wanaija 20,000 wameingia mitaani mjini Niamey, Naija mnamo Juni, 6. Kuna ababu nyingi za maandamano hayo: umaskini uliokithiri, utawala mbovu na kubanwa kwa uhuru wa kujieleza yakiwa ni moja wapo...