Habari kuhusu Burundi kutoka Septemba, 2016
Mwandishi wa Habari Jean Bigirimana Bado Hajapatikana katikati ya Mgogoro wa Kisiasa Unaoendelea Nchini Burundi
Serikali kukanusha kushikiliwa kwa Jean kumewaweka marafiki na wafanyakazi wenzake na Jean katika hali hofu kuwa serikali inaweza kuwa inaficha taarifa za alipo au kuhusu kifo chake