Habari kuhusu Burundi kutoka Juni, 2012

Mabadiliko ya Mfumo wa Ustawi wa Jamii ya Kiafrika

  17 Juni 2012

Utekelezaji wa mifumo ya hifadhi ya jamii ya taifa bado uko katika hatua za mabadiliko katika nchi nyingi za Afrika. Mafanikio ya mifumo iliyopo yanajadiliwa na wataalamu wa hifadhi za jamii katika nchi zilizo kusini mwa jangwa la Sahara.