Habari kuhusu Togo kutoka Juni, 2009

Togo Yafuta Adhabu ya Kifo

  28 Juni 2009

Bunge la Taifa la Togo limepiga kura ya kukomesha adhabu ya kifo na kuifanya nchi hiyo kuwa mwanachama wa 15 wa Umoja wa Nchi za Afrika kuipiga marufuku adhabu hiyo.