Habari kuhusu Togo kutoka Juni, 2016
Mtazamo wa Tamasha la Kwanza la WanaBlogu na Vilogu wa Barani Afrika Lililofanyika Huko Dakar, Senegal
Kwa siku mbili, wanablogu na wanavilogu maarufu barani Afrika, wakiambatana na wadau kadhaa wa teknolojia barani Afrika walikuwa na majadiliano ya namna ya kuboresha kazi zao