· Septemba, 2014

Habari kuhusu Togo kutoka Septemba, 2014

Wanabogu wa Togo Wamtania Rais Kufuatia Ujumbe wa Bango Barabarani

  16 Septemba 2014

Mtu mmoja alitaka watu wajue kwamba alikuwa na shukrani kwa ukarimu wa Rais wa Togo Faure Gnassingbé. Wiki hii, bango kubwa liliwekwa jijini Lomé, Togo kusifia kitendo cha Rais kutoa chakula cha mchana kwa watoto. Bango hili linaloonekana hapa chini lina maneno haya kwa lugha ya Kifaransa:” Asante sana Baba Faure...