Habari kuhusu Msumbiji kutoka Septemba, 2020
Waandishi Wa Habari wa Msumbiji Waachiwa Huru Baada ya Kukaa Kizuizini Kwa Miezi Kadhaa Bila Kufunguliwa Mashtaka
Amade Abubacar na Germano Adriano walikuwa kizuizini tangu Januari lakini walishtakiwa tu hapo Aprili 16. Kwa sasa wanasubiri shauri lao lisikilizwe wakiwa chini ya uangalizi.