Habari kuhusu Msumbiji kutoka Juni, 2013
Wafanyakazi wa Sekta ya Afya Nchini Msumbiji Wagoma Kudai Maslahi
Wafanyakazi wa sekta ya afya nchini Msumbiji wamekuwa katika mgomo uliodumu kwa siku kumi na kusababisha kusimama kwa huduma katika vitengo vingi vya kutoa huduma...