Habari kuhusu Wanawake na Jinsia kutoka Agosti, 2017
Waziri Mkuu Mwanamke wa Kwanza wa Jamaica Astaafu Akisifiwa, Akikoselewa — na Mjadala wa Nani Atakuwa Mrithi Wake
"Portia Simpson aliingia kwenye siasa za uwakilishi kwa ngazi ya bunge mwaka 1976 ambapo siasa na ukabila na ghasia zilikuwa na nafasi kubwa."