Habari kuhusu Wanawake na Jinsia kutoka Septemba, 2020
Ukeketaji Waongezeka Mashariki ya Kati Katika Kipindi cha Mlipuko wa Mlipuko wa COVID-19
Janga hili limetibua mikakati ya kuzuia ukeketaji huko Mashariki ya Kati ambapo suala hili linaripotiwa kwa uchache sana.