Habari kuhusu Wanawake na Jinsia kutoka Aprili, 2011
Misri: Basboussa kwa Urais!
Mtangazaji habari wa zamani wa televisheni ya Misri na mwanaharakati Bothaina Kamel alitangaza kwenye twita kwamba ana mipango ya kugombea urais. Yafuatayo ni maoni ya kumuunga mkono na kupinga hiyo mipango yake .