· Februari, 2009

Habari kuhusu Wanawake na Jinsia kutoka Februari, 2009

Indonesia: Talaka na Ndoa za Mitala

  22 Februari 2009

Najihisi nina hatia ninapoandika kuhusu talaka na ndoa za mitala wakati wa siku ya wapendanao ya Valentino. Lakini mada hizi zisizotamkika ni ukweli wa mapenzi na mahusiano. Katika Indonesia, wanawake wengi wanawataliki waume zao kwa sababu ya mitala.