Habari kuhusu Wanawake na Jinsia kutoka Mei, 2014
Rwanda: Mema, Mabaya na Matumaini
Ingawa Rwanda imepiga hatua kubwa katika kuponya majeraha ya mauaji ya kimbari ya 1994, makundi ya utetezi yanaripoti vitendo vya uvunjaji wa haki za binadamu.
Jamaika: Alama Zinapoashiria Kikomo
Blogu ya Active Voice imetoa mkusanyiko wa twiti zenye mitazamo ya kupendekeza ufumbuzi kuhusu kampeni ya #bringbackourgirls inayodai kurudishwa kwa wasichana waliotekwa na magaidi wa Boko Haram.
Simulizi za Jinsia na Wajibu
Kwenye blogu ya EnGenerada kuna tafakari ya kina [es] juu ya ujenzi wa utambulisho wa jinsia na masimulizi yanazyohusishwa na wanawake na wanaume. Wanahitimisha kwamba, licha ya kuwa ndugu katika...
Wanawake na Matumizi ya Mamlaka ya kisiasa
EnGenerada anauliza [es] wasomaji wake kama wana kile wanahitaji kutumia nguvu ya kisiasa. Kila siku, tunasoma, kusikia, na kusema maneno: “Siasa ni chombo cha mageuzi ya jamii”. Mawazo yetu yanapokomaa,...
Colombia: Hatua za Kudhibiti Mashambulizi ya Kemikali
Ili kuepusha mashambulizi ya kemikali yanayowalenga hasa wanawake katika maeneo mbalimbali ya nchi, serikali ya Colombia itaanza kudhibiti [es] mauzo ya rejareja ya kemikali ya ‘chokaa’ na vitu vya kemikali...
Caribbean Yajiunga na Kampeni ya #BringBackOurGirls
Kama watoto wetu wangetoweka tungelipenda dunia yote kusimama na kuja kutusaidia kuwatafuta wao. Sisi … tunauliza kwamba … kwa nini mara nyingi miili ya wanawake huwa uwanja wa vita ambapo...
#BringBackOurGirls: Taarifa Kutoka kwa Wanablogu Wenye Wasiwasi Nigeria
Wanablogu wa Nigeria wameongezea sauti zao kwa kampeni ya #BringBackOurGirls: Sisi, wanablogu wa Nigeria tuliotia saini zetu hapa chini, kwa mtazamo na wasiwasi kwa kuendelea kukamatwa kwa wasichana wa shule...
Sio Rahisi Ukiwa Mtu Mweusi Nchini Cuba
Habari mbaya kwa Wa-cuba wenye ngozi nyeusi au yenye mchanganyiko wa weusi na weupe ni kwamba hakuna taasisi huru za kisheria itawalinda kutelekezwa na serikali. Iván anaripoti kuwa watu wasio...
Naijeria: Kampeni ya #Bringourgirlsback
Katikati ya mwezi Aprili, zaidi ya wasichana 200 wa shule walitekwa nyara kutoka shule ya sekondari iliyoko eneo la Chibok, Naijeria, kitendo kinachodaiwa kufanywa na Boko Haram, kundi la...